Digitalizing Events, Simplifying Life.
Ndani ya Scosiah Tech Company tunatoa huduma za kisasa za kidigitali ikiwemo Scosiah E-Card, Android Apps, Website Development na Management Systems kwa biashara na taasisi mbalimbali.
Choose your platform to get started
Tunatoa suluhisho za kisasa za kidigitali kwa biashara, events na mifumo ya kisasa.
Kadi za kidigitali kwa harusi, events na biashara. Uthibitisho wa QR papo hapo.
Tunatengeneza mobile apps za kisasa kwa biashara yako — kutoka idea hadi Play Store.
Tovuti za kisasa, e-commerce na business websites — fast, responsive na SEO optimized.
POS, School Systems, Installment Systems — automation kamili kwa biashara yako.
Tunatengeneza Forex Robots (MT4/MT5) na indicators maalum kwa trading automation. Risk management, strategy optimization na performance ya muda mrefu.
Tunakupa suluhisho la kisasa, salama na rahisi kwa mialiko na tiketi za kidigitali.
Imeundwa kwa teknolojia ya kisasa kuhakikisha mwonekano wa kuvutia na urahisi wa matumizi.
Pata mialiko na tiketi zako kwa bei nafuu bila gharama za uchapishaji wa makaratasi.
Wageni wanathibitishwa papo hapo kupitia QR Code bila usumbufu wowote.
Kila E-Card inalindwa kuhakikisha taarifa zako na wageni wako wako salama kabisa.
Tumia kwa urahisi popote ulipo bila makaratasi au usumbufu wowote.
Wateja walioridhika ni ushahidi wa ubora na huduma bora ya Scosiah Tech.
Kadi ya Kidigitali ya Kisasa
Scosiah E-Card ni suluhisho la kidigitali linalokuwezesha kupokea mialiko, tiketi, na huduma kwa njia ya haraka, salama na rahisi. Hakikisha unapata kila kitu unachohitaji bila makaratasi, ukiwa na QR Code ya haraka kuidhinishwa kwa hafla zako.
Rahisisha maisha yako kwa kutumia Scosiah E-Card. Inapatikana sasa kwenye Google Play Store.
Tunatengeneza mobile applications za kisasa zinazolenga kukuza biashara yako na kuboresha uzoefu wa wateja wako.
"Tunabadilisha mawazo yako kuwa mobile solutions zinazofanya kazi real-world."
"Website yako ndiyo identity ya biashara yako mtandaoni — ifanye iwe premium."
Tunajenga websites za kisasa, fast na responsive zinazosaidia biashara yako kuonekana kitaalamu.
Tunatengeneza systems za kusimamia biashara kwa ufanisi mkubwa. POS hadi school management.
"Automation ni nguvu ya biashara ya kisasa — acha system ikufanyie kazi."
"Trading automation ndiyo future — tunakusaidia kuifikia mapema."
Tunatengeneza Forex Robots (Expert Advisors) na indicators maalum kwa ajili ya ku-automate trading yako.
Unatafuta suluhisho bora la kidigitali? Tunaandikia nukuu binafsi kwa mahitaji na bajeti yako.
Watu wanaoendesha ubunifu, teknolojia na mafanikio ya Scosiah Tech Company.
Visionary leader anayesukuma mbele ubunifu wa kidigitali ndani ya Scosiah Tech.
Chat on WhatsApp
Anaongoza mipango ya biashara na kuhakikisha ukuaji wa kampuni unakuwa endelevu.
Chat on WhatsApp
Anachangia ubunifu na ushirikiano wa biashara katika miradi mbalimbali ya Scosiah.
Chat on WhatsApp